Livres, brochures et ebooks en Swahili

Vitabu, brosha na ebooks katika lugha ya kiswahili
Vitabu, brosha na ebooks katika lugha ya kiswahili lire plus »
Fermer fenêtre
Livres, brochures et ebooks en Swahili
Vitabu, brosha na ebooks katika lugha ya kiswahili
Fermer filtres
 
du au
  •  
Maisha niliyochagua mimi mwenyewe
Maisha niliyochagua mimi mwenyewe
Mada ya kitabu hiki inamaanisha nini ? Maisha ni nini kwa kweli? Kwa nini kila mtu ana maisha isiyo na kifani ? Je , kwa kweli, bahati ipo ? Sababu gani nilizaliwa katika familia hii bali si katika nyingine yote ile ? (...)
8,90 € *
E-book Maisha niliyochagua mimi mwenyewe (PDF Format)
E-book Maisha niliyochagua mimi mwenyewe (PDF...
Mada ya kitabu hiki inamaanisha nini ? Maisha ni nini kwa kweli? Kwa nini kila mtu ana maisha isiyo na kifani ? Je , kwa kweli, bahati ipo ? Sababu gani nilizaliwa katika familia hii bali si katika nyingine yote ile ? (...)
=> 2,99 € *
Maneno ya faraja
Maneno ya faraja
Brosha itolewayo bila malipo yenye mada kuu "Ujumbe wa ukweli" Maneno ya busara. (...)
0,00 € *
Maisha ya raha hadi uzeeni
Maisha ya raha hadi uzeeni
Brosha itolewayo bila malipo yenye mada kuu "Ujumbe wa ukweli" Cha muhimu si miaka, bali mtazamo wetu kuhusu maisha. Gabriele anatutolea maelekezo kamili ili tuipe thamani maisha (...)
0,00 € *
Hauko peke yako
Hauko peke yako
Madondoo ya brosha : "Nguvu, upendo na hekima ya ulimwenguni pote ya Mungu inaunda sumaku kubwa yenye mvuto ambao unahitaji kuvuta kwake, kila mmoja wetu. Tukikubali kuvutwa, mvuto huo utaimarisha mawasiliano na utu wetu wa ndani...
0,00 € *
Yesu na wanyama
Yesu na wanyama
Madondoo ya brosha :"Hata kama mtu amenunua mnyama, mnyama huyo sio mali yake. Kama vile mwili wa kiroho yaani nafsi ndani ya mwanadamu, ni ya Uzima wa Milele kwa sababu ni Wamilele ndiye aliyeiumba. Kiumbe cha kiroho huishi na Wamilele...
0,00 € *
KITABU CHA MAFUNDISHO
KITABU CHA MAFUNDISHO
Katika nyakati hizi za misukosuko, mnapitika mambo mengi ambayo hatuna uwezo wa kuimudu. Lakini kila mmoja ana uwezo wa kuingoza "maisha yake ya kiroho" ,akitaka. (...)
8,90 € *
E-book KITABU CHA MAFUNDISHO (PDF Format)
E-book KITABU CHA MAFUNDISHO (PDF Format)
Katika nyakati hizi za misukosuko, mnapitika mambo mengi ambayo hatuna uwezo wa kuimudu. Lakini kila mmoja ana uwezo wa kuingoza "maisha yake ya kiroho" ,akitaka. (...)
=> 2,99 € *
MUNGU anaponya
MUNGU anaponya
Ni nani asiye na haja ya uponyaji ? Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa inatenda kazi ndani ya kila mmoja wetu. Ni nguvu ya upendo, nguvu ya Mungu. (...)
8,90 € *
E-book MUNGU anaponya (PDF Format)
E-book MUNGU anaponya (PDF Format)
Ni nani asiye na haja ya uponyaji ? Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa inatenda kazi ndani ya kila mmoja wetu. Ni nguvu ya upendo, nguvu ya Mungu. (...)
=> 2,99 € *
Amri Kumi za MUNGU & Mafundisho ya Yesu wa Nazareti Mlimani
Amri Kumi za MUNGU & Mafundisho ya Yesu wa...
Gundueni Amri Kumi za Mungu zilizofafanuliwa katika usemi wa siku hizi na pia maelezo kuhusu Mafundisho ya Yesu Mlimani iliyofunuliwa na Kristo mwenyewe kupitia Gabriele, (...)
8,90 € *
E-book Amri Kumi za MUNGU & Mafundisho ya Yesu wa Nazareti Mlimani (PDF)
E-book Amri Kumi za MUNGU & Mafundisho ya Yesu...
Gundueni Amri Kumi za Mungu zilizofafanuliwa katika usemi wa siku hizi na pia maelezo kuhusu Mafundisho ya Yesu Mlimani iliyofunuliwa na Kristo mwenyewe kupitia Gabriele, nabii na mjumbe wa Ufalme wa milele. (...)
=> 2,99 € *
Roho huru Mungu ndani mwetu
Roho huru Mungu ndani mwetu
Kitabu hiki kinamwelekeza msomaji kwenye njia ya uhuru na kinamuwezesha kujitenga na imani potovu, mila ngumu na taasisi zinazotushikilia. Njia hiyo ni njia iongozayo kwa Mungu, kwa Mungu ndani mwetu.(...)
8,90 € *
E-book Roho huru Mungu ndani mwetu (PDF)
E-book Roho huru Mungu ndani mwetu (PDF)
E-book (PDF) Kitabu hiki kinamwelekeza msomaji kwenye njia ya uhuru na kinamuwezesha kujitenga na imani potovu, mila ngumu na taasisi zinazotushikilia. Njia hiyo ni njia iongozayo kwa Mungu, kwa Mungu ndani mwetu.
=> 2,99 € *
Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu.
Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu.
«Hili ni Neno Langu – A na Ω» ni kitabu kinachoeleza mawazo na kazi ya Yesu wa Nazareti ambaye tunamgundua kama nabii ashuhuri sana kuliko manabii wote wa Mungu na isitoshe, aliyekuwa Mwalimu mkuu. Katika mabadiliko hii ya enzi, ni...
0,00 € *
Uwezekano wa kuzaliwa upya katika mwilii wa mwanadamu
Uwezekano wa kuzaliwa upya katika mwilii wa...
Madondoo ya brosha :"Kila mwanadamu huchagua kuzaliwa upya kwa nafsi yake duniani au kufuata kwa dhati njia ya kurudi maskani kwa Baba. Ndiyo sababu Wamilele alifundisha Amri kumi kupitia Musa, tena ndiyo sababu Mwanae, Yesu, Kristo,...
0,00 € *
Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na ujana wake
Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na ujana wake
Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia (...)
4,00 € *
Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia Musa
Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia Musa
Amri za mungu hazina katazo hata moja. Kwa kuwa Roho huru ni uhuru, hayo yana maana kwamba mwanadamu ana uhuru kabisa wa kukubali maonyo ya Mungu na kuyashika au la. (...)
4,00 € *
E-book Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia Musa (PDF)
E-book Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia...
Amri za mungu hazina katazo hata moja. Kwa kuwa Roho huru ni uhuru, hayo yana maana kwamba mwanadamu ana uhuru kabisa wa kukubali maonyo ya Mungu na kuyashika au la. (...)
=> 0,99 € * 2,99 € *
E-book Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na ujana wake (PDF)
E-book Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na...
Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia wanaoendelea kuandika, (...)
=> 2,99 € *
Jifunze kuomba - Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu.
Jifunze kuomba - Katika sala ya kweli, unapata...
Tunapata ujuzi wa Mungu katika sala ya ndani mwetu wenyewe. Ila, sala halisi huhitaji mafunzo, kwa kuwa, sala halisi, tunayoifanya ndani mwetu wenyewe ni mazungumzo na Mungu. (...)
4,00 € *
E-book Jifunze kuomba - Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu. (PDF)
E-book Jifunze kuomba - Katika sala ya kweli,...
Tunapata ujuzi wa Mungu katika sala ya ndani mwetu wenyewe. Ila, sala halisi huhitaji mafunzo, kwa kuwa, sala halisi, tunayoifanya ndani mwetu wenyewe ni mazungumzo na Mungu. (...)
=> 2,99 € *
Kumpata Mungu! Wapi? Na Vipi?
Kumpata Mungu! Wapi? Na Vipi?
Wakati wetu ni wa wasiwasi na misukosuko. Watu wengi zaidi hujiswali maswali juu ya Mungu: Je, Mungu yupo wapi? Twaweza kumpata vipi? Au Kweli Mungu yupo? Ikiwa Mungu yupo, kwa nini hajitokezi?
0,00 € *
Mnaishi milele. Hakuna mauti
Mnaishi milele. Hakuna mauti
Kwa nini watu wengi wana woga wa jambo linaloitwa kifo? Kwa nini watu wana hofu mwingi, woga na kukosa ukubali wa jambo linaloambatana na maisha yetu ya kibinadamu? Dhana ya watu kuhusu kifo inayowatia hofu, wasiwasi au tena kukata tamaa...
0,00 € *
Mafundisho ya Yesu Mlimani. Ufunguo wa maisha ya kiroho yenye raha
Mafundisho ya Yesu Mlimani. Ufunguo wa maisha...
Mafundisho ya Mlimani ni njia ya kiroho inayoongoza moyoni mwa Mungu, kwenye ukamilifu. Ninaongoza watu wangu kwenye ufahamu wa ukweli. «Heri walio maskini wa roho, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao!» Neno «maskini» halimaanishi ukosefu wa...
0,00 € *
Usikate tamaa! Stahimili!
Usikate tamaa! Stahimili!
Usikate tumaini, hata kama unapitia siku ngumu, saa za uzuni, zakukatisha tumaini. Madondoo ya brosha : "Usikate tumaini, stahimili! », ina maana pia kwamba katika hali zote ni vema kwanza kubaki kimya kwa ajili ya kumgeuikia Mtoaji wa...
0,00 € *
Mungu ndani mwetu
Mungu ndani mwetu
Mada « Mungu ndani mwetu», hususan wakati huu wa sasa, haina maana ? Gabriele anaandika: „Dhamira yangu ni kutetea Mungu, sijitetei mwenyewe wala pia sitetei shirika fulani linalojulikana, ila natetea Mungu peke yake ambaye ningependelea...
0,00 € *
Derniers articles consultés