Best-seller
Brosha itolewayo bila malipo yenye mada kuu "Ujumbe wa ukweli" Maneno ya busara. (...)
0,00 €
*
Brosha itolewayo bila malipo yenye mada kuu "Ujumbe wa ukweli" Cha muhimu si miaka, bali mtazamo wetu kuhusu maisha. Gabriele anatutolea maelekezo kamili ili tuipe thamani maisha (...)
0,00 €
*
Madondoo ya brosha :
"Nguvu, upendo na hekima ya ulimwenguni pote ya Mungu inaunda sumaku kubwa yenye mvuto ambao unahitaji kuvuta kwake, kila mmoja wetu. Tukikubali kuvutwa, mvuto huo utaimarisha mawasiliano na utu wetu wa ndani...
0,00 €
*
Madondoo ya brosha :"Hata kama mtu amenunua mnyama, mnyama huyo sio mali yake. Kama vile mwili wa kiroho yaani nafsi ndani ya mwanadamu, ni ya Uzima wa Milele kwa sababu ni Wamilele ndiye aliyeiumba. Kiumbe cha kiroho huishi na Wamilele...
0,00 €
*
«Hili ni Neno Langu – A na Ω» ni kitabu kinachoeleza mawazo na kazi ya Yesu wa Nazareti ambaye tunamgundua kama nabii ashuhuri sana kuliko manabii wote wa Mungu na isitoshe, aliyekuwa Mwalimu mkuu.
Katika mabadiliko hii ya enzi, ni...
0,00 €
*
Madondoo ya brosha :"Kila mwanadamu huchagua kuzaliwa upya kwa nafsi yake duniani au kufuata kwa dhati njia ya kurudi maskani kwa Baba. Ndiyo sababu Wamilele alifundisha Amri kumi kupitia Musa, tena ndiyo sababu Mwanae, Yesu, Kristo,...
0,00 €
*
Wakati wetu ni wa wasiwasi na misukosuko.
Watu wengi zaidi hujiswali maswali juu ya Mungu:
Je, Mungu yupo wapi?
Twaweza kumpata vipi?
Au Kweli Mungu yupo?
Ikiwa Mungu yupo, kwa nini hajitokezi?
0,00 €
*
Kwa nini watu wengi wana woga wa jambo linaloitwa kifo?
Kwa nini watu wana hofu mwingi, woga na kukosa ukubali wa jambo linaloambatana na maisha yetu ya kibinadamu? Dhana ya watu kuhusu kifo inayowatia hofu, wasiwasi au tena kukata tamaa...
0,00 €
*
Mafundisho ya Mlimani ni njia ya kiroho inayoongoza moyoni mwa Mungu, kwenye ukamilifu.
Ninaongoza watu wangu kwenye ufahamu wa ukweli. «Heri walio maskini wa roho, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao!» Neno «maskini» halimaanishi ukosefu wa...
0,00 €
*
Usikate tumaini, hata kama unapitia siku ngumu, saa za uzuni, zakukatisha tumaini. Madondoo ya brosha :
"Usikate tumaini, stahimili! », ina maana pia kwamba katika hali zote ni vema kwanza kubaki kimya kwa ajili ya kumgeuikia Mtoaji wa...
0,00 €
*
Mada « Mungu ndani mwetu», hususan wakati huu wa sasa, haina maana ?
Gabriele anaandika: „Dhamira yangu ni kutetea Mungu, sijitetei mwenyewe wala pia sitetei shirika fulani linalojulikana, ila natetea Mungu peke yake ambaye ningependelea...
0,00 €
*
Derniers articles consultés