Yesu na wanyama

Yesu na wanyama
0,00 € *

Prix TVA incluse. Les frais de port sont en sus

Expédition immédiate à réception du règlement. Délai de livraison pour l'Europe environ 5 à 10 jours ouvrés. (Pour le reste du monde, compter plusieurs semaines)

  Madondoo ya brosha : "Hata kama mtu amenunua mnyama, mnyama huyo sio mali yake....plus
. "Yesu na wanyama"

 

Madondoo ya brosha :

"Hata kama mtu amenunua mnyama, mnyama huyo sio mali yake. Kama vile mwili wa kiroho yaani nafsi ndani ya mwanadamu, ni ya Uzima wa Milele kwa sababu ni Wamilele ndiye aliyeiumba. Kiumbe cha kiroho huishi na Wamilele katika Uzima wa Milele.
Mnyama pia naye aliumbwa na Roho wa uumbaji wa milele, na ni wa Uzima uliopo milele na milele: yaani Mungu.
Kile kisichyo na mwisho chote ni upendo unaohudumu, Uzima unaohudumu. Mwanadamu pia anaalikwa na Mimi, Kristo, kuwatumikia jirani zake bila ubinafsi.
Ni lazima tuelewe pia kwamba maneno «majirani zake» yanahusu pia majirani viumbe vingine vya mazingira, wanyama.
Kwani mnyana pia amepewa uwezo wa huduma usio na ubinafsi na anawasaidia kwa moyo mkunjufu watu wanaompenda." 


Click here to download  -  Cliquez ici pour télécharger / consulter la brochure gratuite en ligne

 

. "Yesu na wanyama"
Derniers articles consultés