Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu.

Ufunuo wa Kristo unaojulikana na wakristo halisi wa dunia nzima
0,00 € *

Prix TVA incluse. Les frais de port sont en sus

Expédition immédiate à réception du règlement. Délai de livraison pour l'Europe environ 5 à 10 jours ouvrés. (Pour le reste du monde, compter plusieurs semaines)

  Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu. Ufunuo wa Kristo unaojulikana na...plus
. "Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu."

 
Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu. Ufunuo wa Kristo unaojulikana na wakristo halisi wa dunia nzima

«Hili ni Neno Langu – A na Ω» ni kitabu kinachoeleza mawazo na kazi ya Yesu wa Nazareti ambaye tunamgundua kama nabii ashuhuri sana kuliko manabii wote wa Mungu na isitoshe, aliyekuwa Mwalimu mkuu.
Katika mabadiliko hii ya enzi, ni Kristo mwenyewe ndiye alifunua kupitia unabii wa Gabriele, nabii-mwalimu, ukweli wote uhusu
mafundisho na maisha yake duniani katika Yesu wa Nazareti. Anaeleza tena kwamba hajawahi kuunda dini wala kuwakabidhi makasisi madaraka.

Bofya hapa ili kupakua / kutazama brosha ya bure mtandaoni  -  Click here to download  -  Cliquez ici pour télécharger / consulter la brochure gratuite en ligne

 

. "Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu."
Derniers articles consultés