Mnaishi milele. Hakuna mauti

Mnaishi milele. Hakuna mauti
0,00 € *

Prix TVA incluse. Les frais de port sont en sus

Expédition immédiate à réception du règlement. Délai de livraison pour l'Europe environ 5 à 10 jours ouvrés. (Pour le reste du monde, compter plusieurs semaines)

  Kwa nini watu wengi wana woga wa jambo linaloitwa kifo? Kwa nini watu wana hofu...plus
. "Mnaishi milele. Hakuna mauti"

 

Kwa nini watu wengi wana woga wa jambo linaloitwa kifo?
Kwa nini watu wana hofu mwingi, woga na kukosa ukubali wa jambo linaloambatana na maisha yetu ya kibinadamu?

Dhana ya watu kuhusu kifo inayowatia hofu, wasiwasi au tena kukata tamaa ni dhana potovu na bila uhalisia, ni alama ya upuuzi na kukataa kuelewa kwao, yaani ni madhara ya uhusiano wao na maisha potovu. Sababu za woga huo ni zipi?

 

 
Bofya hapa ili kupakua / kutazama brosha ya bure mtandaoni  - 

Click here to download  -  Cliquez ici pour télécharger / consulter la brochure gratuite en ligne

 

. "Mnaishi milele. Hakuna mauti"
Derniers articles consultés