Mungu ndani mwetu

Mungu ndani mwetu
0,00 € *

Prix TVA incluse. Les frais de port sont en sus

Expédition immédiate à réception du règlement. Délai de livraison pour l'Europe environ 5 à 10 jours ouvrés. (Pour le reste du monde, compter plusieurs semaines)

  Mada « Mungu ndani mwetu», hususan wakati huu wa sasa, haina maana ?...plus
. "Mungu ndani mwetu"

 

Mada « Mungu ndani mwetu», hususan wakati huu wa sasa, haina maana ?
Gabriele anaandika: „Dhamira yangu ni kutetea Mungu, sijitetei mwenyewe wala pia sitetei shirika fulani linalojulikana, ila natetea Mungu peke yake ambaye ningependelea ndugu na dada zangu wajifunze kumjua.
Nimempata Mungu, Uzima, ndani ya nafsi yangu, na ninajua kwamba anatupenda sote, kama Baba yetu wa milele, alituzingatia na akatuumba moyoni mwake.

Mungu yupo daima.
Yupo katika mazingira.
Mungu ni Uzima, ni nuru, iliyo ndani ya kila mnyama, kila mmea au kila jiwe, ndani ya kila mti.
Mungu Yumo ndani ya nafsi yako.
Yupo pamoja nawe na Yupo kando yako.“

Bofya hapa ili kupakua / kutazama brosha ya bure mtandaoni - 

Click here to download  -  Cliquez ici pour télécharger / consulter la brochure gratuite en ligne

 

. "Mungu ndani mwetu"
Derniers articles consultés