Hauko peke yako

 Hauko peke yako
0,00 € *

Prix TVA incluse. Les frais de port sont en sus

Expédition immédiate à réception du règlement. Délai de livraison pour l'Europe environ 5 à 10 jours ouvrés. (Pour le reste du monde, compter plusieurs semaines)

  Madondoo ya brosha : "Nguvu, upendo na hekima ya ulimwenguni pote ya Mungu...plus
. "Hauko peke yako"

 

Madondoo ya brosha :
"Nguvu, upendo na hekima ya ulimwenguni pote ya Mungu inaunda sumaku kubwa yenye mvuto ambao unahitaji kuvuta kwake, kila mmoja wetu. Tukikubali kuvutwa, mvuto huo utaimarisha mawasiliano na utu wetu wa ndani ambamo mna nguvu asilia, uwezo wa uwepo wetu wa milele unaongoja kuwekwa huru. Hayo yanajidokeza ndani mwetu kama hisia, aina ya majonzi, nuru kubwa inayotuinua na kutujaza.
Kwa hiyo, ni wajibu wetu kupiga hatua ya kwanza kwenda kulaki nuru ya Mungu inayotungoja hadi muda tutakapoamua kugeukia ndani mwetu na kujielekeza daima upande wa chemchemi ya milele, yaani Mungu. Vipi? Kwa kufanya mazoezi ya kujikataa sisi wenyewe na kuingia katika mazingatio makubwa ndani mwetu, kuzama katika ukimya wa ndani na maombi. Kuomba kunamaanisha kujitahidi kuwasiliana na Mungu, na Kristo ndani mwako wewe mwenyewe.

 

Bofya hapa ili kupakua / kutazama brosha ya bure mtandaoni - 

Click here to download  -  Cliquez ici pour télécharger / consulter la brochure gratuite en ligne

 

. "Hauko peke yako"
Derniers articles consultés