E-book Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na ujana wake (PDF)

Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na ujana wake
2,99 € *

Prix TVA incluse. Les frais de port sont en sus

Disponible en tant que téléchargement immédiat

  • B170sw
  • 46 pages
    Format : E-book. livre numérique au format : PDF.
    ISBN / EAN :978-3-96446-479-8
    Publié en : Octobre 2021.

  • Après paiement, revenez dans l'onglet "MON COMPTE", puis le menu : "Mes téléch. instant." où vous pourrez télécharger immédiatement cet ebook.
Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa...plus
. "E-book Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na ujana wake (PDF)"

Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia wanaoendelea kuandika, wanaotumikia kanisa au waliyoombwa na kanisa waandike vitabu kuhusu mada hiyo.
Kitabuni humo mmeandikwa sehemu mbali mbali za ufunuo wa Kristo wa Mungu uliotolewa kupitia Gabriele, nabii wake, ambamo Peke yake Anatoa maelezoa kuhusu maisha yake duniani kama Yesu wa Nazareti.

Sehemu: «Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu akajifunua kupitia maono mengine (…) Kwa namna hiyo, nafsi yangu ikafunzwa upendo na rehema. Tayari ndani mwangu, mimi bado mtoto, mlikuwemo nguvu za kiroho ila kila mara nilikuwa nikizitumia vibaya. Mimi Yesu pia nilifunzwa kupitia makosa hayo. Sheria inasema: watu wote na nafsi zote zitaongozwa kupitia makosa na mapungufu yao hadi muda watakapoyatambua na kujirekebisha wao wenyewe. »

. "E-book Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na ujana wake (PDF)"
Derniers articles consultés