E-book Jifunze kuomba - Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu. (PDF)

ebook PDF Jifunze kuomba. Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu. Sala halisi humfanya mtu awe mwenye raha
2,99 € *

Prix TVA incluse. Les frais de port sont en sus

Disponible en tant que téléchargement immédiat

  • B174sw
  • 54 pages
    Format : E-book. Livre numérique au format PDF
    ISBN / EAN :978-3-96446-476-7
    Publié en : Septembre 2021.

  • Après paiement, revenez dans l'onglet "MON COMPTE", puis le menu : "Mes téléch. instant." où vous pourrez télécharger immédiatement cet ebook.
  E-book  Jifunze kuomba. Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu. Sala...plus
. "E-book Jifunze kuomba - Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu. (PDF)"

 

E-book  Jifunze kuomba. Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu. Sala halisi humfanya mtu awe mwenye raha.

Tunapata ujuzi wa Mungu katika sala ya ndani mwetu wenyewe.

Ila, sala halisi huhitaji mafunzo, kwa kuwa, sala halisi, tunayoifanya ndani mwetu wenyewe ni mazungumzo na Mungu.

Ni wakati tunapoomba kwa moyo wote, tukijifunza kuomba kwenye kituo cha nguvu ya Kristo wa Mungu na tunasikia kweli maombi yetu, ndipo tunajihisi kubebwa na nguvu iliyopo siku zote.
Ikiwa tena tunatimiza maombi yetu maishani mwetu siku zote kwa kuyajaza na yale yaliyomo, ni kusema kwa kutimiza mapenzi ya Mungu, tunakaribia basi kituo cha upendo ndani mwetu na tunashika njia ielekeayo kwa Mungu.

. "E-book Jifunze kuomba - Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu. (PDF)"
Derniers articles consultés