E-book MUNGU anaponya (PDF Format)

E-book  MUNGU anaponya PDF FORMAT
2,99 € *

Prix TVA incluse. Les frais de port sont en sus

Disponible en tant que téléchargement immédiat

  • B309sw
  • 112 pages
    Format : E-book. Livre numérique au format PDF
    ISBN / EAN :978-3-96446-478-1
    Publié en : Décembre 2022.

  • Après paiement, revenez dans l'onglet "MON COMPTE", puis le menu : "Mes téléch. instant." où vous pourrez télécharger immédiatement cet ebook.
  Ni nani asiye na haja ya uponyaji ? Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa...plus
. "E-book MUNGU anaponya (PDF Format)"

 

Ni nani asiye na haja ya uponyaji ?
Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa inatenda kazi ndani ya kila mmoja wetu. Ni nguvu ya upendo, nguvu ya Mungu. Gabriele anatoa maelezo kitabuni humu kwamba afya na uponyaji vinategemea mpango wa msingi wa utu wetu wa ndani na kwamba hisia na fikra zetu vina ushawishi mkubwa juu ya hali yetu njema , ambayo tunaweza kuamsha ndani mwetu kwa kumgeukia Mungu, chemchem ya nguvu ndani mwetu.

Kwa kutumia maneno yenye kugusa moyo na inayojaa ujuzi, kitabu hiki kinatuelekeza jinsi ya kuamsha nguvu za kimungu ndani mwetu ili kutia nguvu nafsi na mwili wetu. Hayo haimzuii kamwe mtu kumwendea daktari wake.

 

. "E-book MUNGU anaponya (PDF Format)"
Derniers articles consultés