E-book Maisha niliyochagua mimi mwenyewe (PDF Format)

E-book Maisha niliyochagua mimi mwenyewe (PDF)
2,99 € *

Prix TVA incluse. Les frais de port sont en sus

Disponible en tant que téléchargement immédiat

 • B345sw
 • 54 pages
  Format : E-book. Livre numérique au format PDF
  ISBN / EAN : 9783964464828
  Publié en : Août 2023.

 • Après paiement, revenez dans l'onglet "MON COMPTE", puis le menu : "Mes téléch. instant." où vous pourrez télécharger immédiatement cet ebook.
  E-book Maisha niliyochagua mimi mwenyewe  (PDF Format) Mada ya kitabu hiki...plus
. "E-book Maisha niliyochagua mimi mwenyewe (PDF Format)"

 
E-book Maisha niliyochagua mimi mwenyewe  (PDF Format)

Mada ya kitabu hiki inamaanisha nini ? Maisha ni nini kwa kweli? Kwa nini kila mtu ana maisha isiyo na kifani ? Je , kwa kweli, bahati ipo ? Sababu gani nilizaliwa katika familia hii bali si katika nyingine yote ile ? Kwa nini ninakutana tu na aina fulani ya watu ? Je ninakabiliwa na majaliwa yangu ? Ni nani aliyepangilia tangu awali matukio ya maisha yangu ? Ni vipi ninaweza kubadili mpangilio huo ?

Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu anatoa maelezo kitabuni humu kwamba uzima ni zaidi ya yale tunayohisi kwa jumla. Anatusaidia kuelewa kwa kina matukio ya maisha yetu na anatufundisha jinsi ya kubadili mwelekeo wao.

Vipengele vya mambo yaliyomo :

 • Mungu ni uzima usio na mwisho na wa milele ambamo ulimwengu ulitokea.

 • Uajibikaji wa mwanadamu kuhusu mwenendo, maadili yake, mwelekeo wa maisha yake , kuhusu madhara makali inayompata na tena kuhusu nafsi yake katika makao ya nafsi.

 • Kanuni ya sababu

 • Kuelewa na kuchanganua maelekezo itolewayo na nguvu za mchana

 • Faidika na siku zako.

 

. "E-book Maisha niliyochagua mimi mwenyewe (PDF Format)"
Derniers articles consultés