Fermer filtres
 
du au
  •  
Maisha niliyochagua mimi mwenyewe
Maisha niliyochagua mimi mwenyewe
Mada ya kitabu hiki inamaanisha nini ? Maisha ni nini kwa kweli? Kwa nini kila mtu ana maisha isiyo na kifani ? Je , kwa kweli, bahati ipo ? Sababu gani nilizaliwa katika familia hii bali si katika nyingine yote ile ? (...)
8,90 € *
KITABU CHA MAFUNDISHO
KITABU CHA MAFUNDISHO
Katika nyakati hizi za misukosuko, mnapitika mambo mengi ambayo hatuna uwezo wa kuimudu. Lakini kila mmoja ana uwezo wa kuingoza "maisha yake ya kiroho" ,akitaka. (...)
8,90 € *
MUNGU anaponya
MUNGU anaponya
Ni nani asiye na haja ya uponyaji ? Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa inatenda kazi ndani ya kila mmoja wetu. Ni nguvu ya upendo, nguvu ya Mungu. (...)
8,90 € *
Amri Kumi za MUNGU & Mafundisho ya Yesu wa Nazareti Mlimani
Amri Kumi za MUNGU & Mafundisho ya Yesu wa...
Gundueni Amri Kumi za Mungu zilizofafanuliwa katika usemi wa siku hizi na pia maelezo kuhusu Mafundisho ya Yesu Mlimani iliyofunuliwa na Kristo mwenyewe kupitia Gabriele, (...)
8,90 € *
Roho huru Mungu ndani mwetu
Roho huru Mungu ndani mwetu
Kitabu hiki kinamwelekeza msomaji kwenye njia ya uhuru na kinamuwezesha kujitenga na imani potovu, mila ngumu na taasisi zinazotushikilia. Njia hiyo ni njia iongozayo kwa Mungu, kwa Mungu ndani mwetu.(...)
8,90 € *
Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na ujana wake
Yesu wa Nazareti alikuwa nani? Utoto na ujana wake
Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia (...)
4,00 € *
Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia Musa
Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia Musa
Amri za mungu hazina katazo hata moja. Kwa kuwa Roho huru ni uhuru, hayo yana maana kwamba mwanadamu ana uhuru kabisa wa kukubali maonyo ya Mungu na kuyashika au la. (...)
4,00 € *
Jifunze kuomba - Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu.
Jifunze kuomba - Katika sala ya kweli, unapata...
Tunapata ujuzi wa Mungu katika sala ya ndani mwetu wenyewe. Ila, sala halisi huhitaji mafunzo, kwa kuwa, sala halisi, tunayoifanya ndani mwetu wenyewe ni mazungumzo na Mungu. (...)
4,00 € *
Derniers articles consultés